Katika DHL, tuna shauku ya kuwaleta watu pamoja na kuboresha maisha. Kama Mshirika Rasmi wa Utaratibu wa usafirishaji, DHL ingependa kuimarisha uhusiano na mashabiki na kuonyesha kwamba Tuna Umoja Kote Ulimwenguni.
Ili kusherehekea kuzinduliwa kwa jezi mpya ya nyumbani ya Machester United, DHL itasafirishia mashabiki jezi 100 kote ulimwenguni.
Jezi maarufu ya nyekundu ndiyo hutuleta pamoja – KUWA KITU KIMOJA! Jisajili hapa chini ili upate nafasi ya kuwa mmoja wa mashabiki wa kwanza kuvaa jezi mpya.